HALMASHAURI KUU YA CCM MBEYA YAMPATIA TUZO YA HESHIMA DC ITUNDA
📍Yataja utendaji wake kama kiungo muhimu kwenye chama na serikali *NA MWANDISHI WETU, MBEYA Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Vijijini, imemtunukia Tuzo maalum ya Heshima na Shukrani Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhe. Solomon Itunda, kwa kutambua mchango wake mkubwa wa kuunganisha Serikali na Chama katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi…