Masaju akomaa na haki za raia
Dar es Salaam. Wakati Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, akiwataka majaji na mahakimu kuhakikisha wanatenda haki, kuzingatia maadili na kujiepusha na vitendo vya rushwa, wadau wamesema azma hiyo itafanikiwa iwapo wahusika watatengenezewa mazingira mazuri ya kazi. Aidha, mkuu huyo wa muhimili wa Mahakama amewaeleza watendaji hao kutekeleza majukumu yao bila kusubiri au kufuata maelekezo,…