Admin

Video: Polisi Kuhusu Mwenyekiti BAVICHA Kupotea – ”Amekimbia Kesi ya Mauaji”

Bakari Mahundu February 26, 2026 0 Comments Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa ufafanuzi rasmi kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa watuhumiwa wanne, akiwemo Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Mkoa wa Iringa, Ibrahimu Myovella, wamepotea wakiwa mikononi mwa polisi. Akizungumza na waandishi wa habari,…

Read More

SMZ yajizatiti kulinda vijana dhidi ya madhara ya matumizi ya mitandao

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imekiri kuwepo kwa changamoto na vihatarishi vya matumizi yasiyo salama ya mitandao hususani kwa vijana huku ikiahidi kuitafutia utatuzi. Hayo yamebainishwa leo Alhamisi Februari 26, 2026 na Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Ubunifu Zanzibar, Mohammed Sijamini Mohamed wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Chakechake,…

Read More

Mikoa yaanza kukabili Uviko-19 na mafua makali, wananchi wasuasua

Dar/Mikoani. Siku moja baada ya taarifa za ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 na mafua makali ya Influenza katika maeneo mbalimbali nchini, hali ya utekelezaji wa hatua za kujikinga imeanza kuchukuliwa baadhi ya maeneo, huku wananchi wakionekana kutochukua tahadhari hususan katika majiji makubwa. Utekelezaji huo umeonekana kuanza katika ngazi za mikoa na halmashauri mbalimbali nchini. Mkoa…

Read More

Usafiri mwendokasi mguu sawa Gongo la Mboto

Dar es Salaam. Awamu ya tatu ya usafiri usafiri wa mabasi yaendayo haraka iko mbioni kuanza kati ya Gongo la Mboto na katikati ya Jiji la Dar es Salaam, imefahamika. Hatua hiyo ni baada ya Serikali kutangaza kuwa mabasi 49 yapo tayari na wakati wowote yataingia barabarani kutoa huduma huku mengine takribani 99 yakiwa bandarini…

Read More

Serikali yafafanua meli iliyokamatwa na dawa za kulevya

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeeleza hatua zilizochukuliwa kufuatia kukamatwa kwa meli yenye bendera ya Tanzania nchini El Salvador, iliyodaiwa kubeba tani 6.6 za dawa za kulevya aina ya kokeini. Kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, baada ya kusambaa kwa taarifa za kukamatwa kwa meli hiyo Februari 17 mwaka huu, siku…

Read More

CCM YATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA ASKOFU MKUU RUWA’ICHI KUFUATIA KIFO CHA KADINALI PENGO

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa salamu za rambirambi kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi OFMCap, kufuatia kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo hilo, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo, aliyefariki dunia Februari 19, 2026, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokuwa akipatiwa matibabu. Akizungumza Februari…

Read More