Migogoro ya ardhi bado mfupa mgumu
Dar es Salaam. Migogoro ya ardhi imeendelea kuwa mfupa ulioshindikana kuvunjika, baada ya malalamiko yake kutawala ziara za Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba na viongozi wengine. Awali, Serikali ilitangaza hatua mbalimbali, ikiwamo upimaji wa ardhi na utoaji wa hati za kimila hasa vijijini, lakini hazikuwa muarobaini wa changamoto migogoro hiyo. Malalamiko zaidi yaliyowasilishwa na wananchi…