Makamu wa Rais Nchimbi Awasili Songea kwa Maadhimisho ya Miaka 120 ya Mashujaa wa Majimaji
Global Publishers February 26, 2026 0 Comments Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 26 Februari 2026. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha Tamasha la kumbukizi ya Miaka 120 ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji litakalofanyika tarehe 27 Februari…