Benki ya NBC Yakabidhi Gari kwa Mshindi wa Kampeni ya Huduma za Kidigitali, Yaendeleza Juhudi za Kukuza Ujumuishaji wa Kifedha
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi zawadi kuu za kampeni yake ya “Ukigusa Tu, iMOOO” kwa washindi wakubwa watatu wa kampeni hiyo ikiwemo zawadi kubwa ya gari aina Nissan X trail iliyokabidhiwa kwa Bw Salah Ahmed Mohamed mkazi wa jijini Dar es Salaam alieibuka mshindi wa zawadi kuu ya kampeni iliyolenga kukuza ujumuishaji wa…