Ndejembi aitaka Pura kuwaandaa Watanzania kunufaika na gesi asili
Morogoro. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameielekeza Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (Pura) kuanza mapema kuwaandaa Watanzania kushiriki kikamilifu katika mradi wa gesi asilia kimiminika (LNG), ili wanufaike kabla ya wageni. Akizungumza leo Februari 26, 2026 mjini Morogoro wakati wa kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Pura, Ndejembi amesema rasilimali…