Kapinga: Mfumo wa stakabadhi za ghala nguzo ya utekelezaji wa dira ya Maendeleo 2050
Serikali imesisitiza kuwa mfumo wa stakabadhi za ghala ni muhimu na kichochezi kuelekea utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Huku ikiendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha kunafanyika urasimishaji wa bidhaa za Tanzania kupitia mfumo wa stakabadhi za ghala, ili kuongeza thamani ya mazao ya kilimo, kulinda masilahi ya wakulima, kuongeza ajira kwa vijana na…