Admin

Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Kikao cha 70 cha Tume ya Umoja wa Mataifa kuhusu Hali ya Wanawake – Masuala ya Kimataifa

Maoni na UN Women (umoja wa mataifa) Alhamisi, Februari 26, 2026 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Februari 26 (IPS) – Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 inakuja katika wakati muafaka: Wanawake na wasichana hawajawahi kukaribia usawa, na kamwe hawakaribia kuupoteza. Ulinzi wa kisheria dhidi ya unyanyasaji wa nyumbani umeongezeka katika nchi nyingi. Hata hivyo,…

Read More

Sh500 milioni kupunguza changamoto ya maji Kimochi

Moshi. Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathew, amesema Serikali itapunguza kwa kiasi kikubwa changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa zaidi ya wananchi 16,000 wa Kata ya Kimochi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro ndani ya siku 90. Akizungumza jana Jumatano, Februari 25, 2026, wakati akisikiliza kero za wananchi wa eneo hilo, Kundo alisema…

Read More

Papa Leo kufanya ziara ya kwanza barani Afrika

Vatican. Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, anatarajia kufanya ziara nchini Algeria, Cameroon, Angola, na Equatorial Guinea katikati ya Aprili taarifa iliyotolewa na Vatican Februari 25, 2026.  Kwa mujibu wa taarifa hiyo kituo cha kwanza katika ziara yake ya siku 10 kitakuwa miji ya Algiers na Annaba kuanzia Aprili 13 hadi 15, 2026….

Read More

Ulega: Babarara Mlima Kitonga kuwa njia nne 

Serikali iko katika hatua za mwisho za kuanza upanuzi wa barabara ya Kitonga mkoani Iringa, ambayo sasa itakuwa ya njia nne na yenye taa za barabarani. Mkakati huo unatajwa kuwa licha ya kuboresha huduma, lakini pia unakwenda kumaliza ajali kwenye eneo hilo. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza mpango Jumatano, Februari 26, 2026 na kuwa hatua…

Read More

KATIBU MKUU RAMEPRO,BONIVENTURA MWALONGO SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA MAREHEMU KARDINALI PENGO

Kwa masikitiko makubwa na huzuni nzito, tumepokea taarifa ya kifo cha Mwadhama Polycarp Cardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Marehemu alikuwa mchungaji mwaminifu na kiongozi mwenye hekima na busara, aliyeilitumikia Kanisa na Taifa kwa uaminifu mkubwa, akiacha alama isiyofutika katika mioyo ya wengi. Kwa niaba yangu binafsi na kwa…

Read More

Ni zamu ya vigogo CCM kufyekwa

Dar es Salaam. Fumua fumua ya uongozi au watendaji wa sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wengine inaweza kufanyika wakati wowote ndani ya chama hicho, Mwananchi imeelezwa. Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya CCM zinaeleza mchakato wa kufanya mabadiliko unaendelea ukitarajia kugusa safu za juu ya uongozi wa chama hicho tawala. Endapo…

Read More

Fountain, Namungo Ligi Kuu ya NBC, mechi ya mipango

WAKATI leo Alhamisi Fountain Gate na Namungo zikiwa viwanja tofauti kusaka pointi Ligi Kuu Bara, unaweza kusema  hali ni tete kwa timu hizo ndani ya raundi tano zilizopita sawa na dakika 450 zimeshindwa kuibuka na ushindi. Katika mechi tano zilizopita, Yanga ndiyo iliyokusanya pointi nyingi zaidi ambazo ni 15 (kabla ya mechi ya jana) dhidi…

Read More