Admin

Gachi Amuomba Radhi Yammi Baada ya Kuzua Taharuki Mitandaoni – Video

Global Publishers February 26, 2026 0 Comments Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Fatma Omary maarufu kama Gachi Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Fatma Omary maarufu kama Gachi, amejitokeza hadharani kumuomba radhi msanii mwenzake Yammi kufuatia tuhuma alizozitoa mitandaoni hivi karibuni akimtuhumu kumchukulia mwanaume wake. Katika hatua iliyoonekana kuwa ya kutafuta suluhu na kurejesha…

Read More

Mtibwa hali mbaya, yapigwa tena Chamazi

NINI kimeikuta Mtibwa Sugar? Ni swali unaloweza kujiuliza kufuatia timu hiyo kupoteza mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Yusuf Chipo. Chipo ambaye alitambulishwa Novemba 17, 2025 kuifundisha Mtibwa Sugar baada ya aliyeipandisha daraja timu hiyo, Awadh Juma kukosa vigezo vya kuwa kocha mkuu, alikuwa na mwendo mzuri mwanzoni katika mechi nane…

Read More

Zaidi ya bilioni moja wanahofia kupoteza ardhi na nyumba ndani ya miaka mitano – Masuala ya Ulimwenguni

Ugunduzi unakuja katika a Ripoti inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa ambayo inasisitiza haja ya dhamira thabiti ya kisiasa na sera shirikishi kuhusu haki za ardhi huku kukiwa na mwelekeo unaokua wa mabadiliko ya hali ya hewa, ulinzi wa viumbe hai, usawa wa kijinsia na mabadiliko ya vijijini. Katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, serikali…

Read More