Real Madrid, PSG na Atalanta Zatinga 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya
Global Publishers February 26, 2026 0 Comments Usiku wa kuamkia leo Februari 26, 2026 michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya umeshuhudia vigogo kadhaa wakifuzu hatua ya 16 bora baada ya michezo ya mchujo (playoffs), huku pambano la Juventus dhidi ya Galatasaray likiendelea kuandika historia kwa kuelekea dakika 30 za nyongeza kufuatia sare ya jumla. Real…