Jaji Mkuu Awataka Majaji, Mahakimu Kuwajibika bila Kusubiri Maelekezo
Global Publishers February 26, 2026 0 Comments Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, amewataka Majaji na Mahakimu nchini kutekeleza majukumu yao ipasavyo na kwa kujituma bila kusubiri maelekezo kutoka kwa Viongozi. Masaju ametoa maagizo hayo leo Februari 25, 2026 wakati akifungua Kikao cha Mwaka cha…