SERIKALI KUNYOOSHA TARATIBU ZA UFADHILI.
……. Na Carlos Claudio, Dodoma. Serikali imetenga Shilingi bilioni 5 kufadhili wanafunzi 20 wa Shahada ya Uzamili katika fani za Sayansi Takwimu (Data Science), Akili Unde (Artificial Intelligence) na Sayansi Shirikishi kupitia mpango wa Samia Scholarship Extended (SSE DS/AI+), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa taifa kuimarisha rasilimali watu katika teknolojia za kisasa. Wanafunzi 10…