Wanapokosea upinzani kusaka dola nchi za Afrika
Dar es Salaam. Safari ya vyama vya upinzani barani Afrika katika kuisaka dola inaendelea kuwa ngumu na yenye miiba, huku vikwazo vya kisiasa, kisheria na kiusalama vikizidi kutishia uhai na mustakabali wa viongozi wake. Licha ya kuanzishwa kwa vyama vya upinzani kwa dhamira ya kuimarisha demokrasia, kutoa mbadala wa sera na kuikosoa serikali kwa uwajibikaji,…