Admin

BRECOL Yatangaza Ajira ya Quantity Surveyor – Omba Sasa

Global Publishers February 25, 2026 0 Comments 1️⃣ Quantity Surveyor (Civil Building Project) Minimum Qualifications: Bachelor of Science in Building, Quantity Surveying, Construction Management, or related field Minimum of 2 years proven experience in civil building projects Key Responsibilities: Prepare Bills of Quantities (BOQ), cost estimates, and tender documents Conduct cost analysis and budget control…

Read More

Walimu 258 wenye ulemavu wapigwa msasa elimu jumuishi

Unguja. Serikali imesema walimu 258 wamepatiwa mafunzo ya elimu jumuishi na walimu wataalamu 92 wameajiriwa kuhakikisha watu wenye ulemavu wakiwemo wanawake wanapata elimu bila vikwazo. Hayo yameelezwa leo Jumatano Februari 25, 2026 na Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais, ambaye pia ni Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa…

Read More

Skimu ya umwagiliaji kunufaisha wakulima 24,500 Mwanga

Mwanga. Wananchi wa Kata ya Kigonigoni, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali kuharakisha utekelezaji wa mradi wa skimu ya umwagiliaji unaoendelea katika eneo hilo, wakisema kukamilika kwake kutawasaidia kujikwamua kiuchumi na kupunguza umaskini. Mradi huo unatarajiwa kugharimu zaidi ya Sh16 bilioni na utanufaisha wakulima zaidi ya 24,500 katika kata hiyo, kwa kuongeza tija katika…

Read More

Baada ya Majira ya baridi kali, Mamilioni ya Waukraine Wanakabiliwa na Uhamisho Mkubwa na Kutokuwa na uhakika – Masuala ya Ulimwenguni.

Matokeo ya Baraza Kuu kupiga kura juu ya rasimu ya azimio “Msaada wa amani ya kudumu nchini Ukraine” iliyopitishwa wakati wa kikao maalum cha dharura. Tarehe 24 Februari 2026 Miaka minne baada ya Urusi kuzindua uvamizi wake kamili wa Ukraine, Umoja wa Mataifa unaadhimishwa siku ya mjadala wa hali ya juu na wito mpya wa…

Read More

Serikali yaridhishwa bei ya bidhaa mwezi wa Ramadhani

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imeridhishwa na mwenendo wa wafanyabiashara kuuza bidhaa kwa kuzingatia bei elekezi zilizowekwa na Serikali katika kipindi hiki cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano, Februari 25, 2026 na Kaimu Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Shariff Ali Shariff, alipofanya ziara ya kukagua…

Read More

WAZIRI SANGU: MAHUSIANO MEMA MSINGI WA UMOJA WA TAIFA

-Ahimiza Mshikamano katika kujenga Tanzania Imara Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Clement Sangu amesisitiza umuhimu wa kudumisha mahusiano mema ili kuimarisha umoja wa Taifa na kuchochea maendeleo endelevu nchini. ‎Mhe. Sangu amesema hayo wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Wadau wa Mahusiano kilichofanyika tarehe Februari 24,…

Read More

Nafasi ya Kazi: Site Foreman Mwenye Uzoefu wa Miaka 2 Anahitajika Haraka

Global Publishers February 25, 2026 0 Comments 2️⃣ Site Foreman (Civil Building Project) Minimum Qualifications: Bachelor of Science in Building, Construction Management, Civil Engineering, or related field Minimum of 2 years practical site experience in building construction Key Responsibilities: Supervise day-to-day construction activities on site Coordinate labor, subcontractors, and materials effectively Ensure work is executed…

Read More

Julio ashtuka, aomba mechi za kirafiki

JAMHURI Kihwelo ‘Julio’ baada ya kuiongoza Mashujaa katika mechi mbili akiwa kocha mkuu akishinda zote ikiwamo dhidi ya Mtibwa Sugar Ligi Kuu na ile ya Kombe la Shirikisho mbele ya Nkim, ameshtuka kisha kuomba mechi za kirafiki, huku akitoa sababu. Kocha huyo aliyechukua mikoba ya Salum Mayanga hivi karibuni, ameliambia Mwanaspoti kuwa, ameichungulia ratiba ya…

Read More