Admin

Naibu Waziri Mkama Ahimiza Ushirikiano na Uwajibikaji kazini

Na Mwandishi Wetu, WMTH – Mtumba, Dodoma Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Switbert Zacharia Mkama (Mb.), amewatak Watumishi wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuimarisha ushirikiano kati ya wafanyakazi na Menejimenti ili kuhakikisha haki, motisha na tija vinatimizwa. Amebainisha hayo tarehe 24 Februari, 2026 wakati akifungua Mkutano wa Baraza…

Read More

WAZIRI MKUU AAGIZA WAKANDARASI KULIPA WAFANYAKAZI KABLA HAWAJACHUKULIWA HATUA

  Na, Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha Waziri mkuu  Dkt.Mwigulu Nchemba amewataka wakandarasi wanaojenga miradi mbalimbali nchini kulipa stahiki za wafanyakazi wao kama walivyokubaliana kabla hatua za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo linalojengwa soko la kisasa la  kilombero baada ya kutembelea mradi wa ujenzi wa stendi na soko…

Read More

MIAMBA YATEMBELEA MWAMBA WA NGORONGORO.

Ikiwa ni majira ya Masika na kiubaridi, Bustani ya Eden ya Ngorongoro ikizungukwa na kingo zenye urefu wa Mita 610  huku wanyama na ndege wakichagiza kwa sauti murua zinazoashiria kuwa Ngorongoro ni mwamba wa miamba usiotikisika  na kusheheni msingi imara wa vivutio vya asili, urithi wa utamanuni na maajabu saba katika eneo moja. Miamba inayounda…

Read More