Mwenyekiti wafanyabiashara Arusha ashikiliwa, Mbungeβ¦
Arusha. Mkuu wa Wilaya ya Arusha (DC), Joseph Mkude amesema Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wilaya hiyo, Dominic Mollel huku Mbunge wa Moshi Vijijini (CCM), Morris Makoi akitoa ushirikiano wa kumtafuta dalali anayedaiwa kuchukua mali za aliyekuwa mfanyabiashara katika moja ya maduka ya stendi ndogo Arusha, Josephine Shirima. Mwananchi imemtafuta mbunge huyo…