Sowah, Kante wafungiwa mechi tano, Yanga yatozwa faini
MSHAMBULIAJI wa Simba, Jonathan Sowah na kiungo wa timu hiyo, Allasane Kante, wamefungiwa kucheza mechi tano kila mmoja kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu waliyofanya dhidi ya Azam FC, Desemba 7, mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) leo Desemba 16, 2025, imeeleza kuwa Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa…