Dk Mwinyi aahidi ujenzi wa masoko ya kisasa kuimarisha biashara Zanzibar
Unguja. Ili kuimarisha biashara na kurahisisha upatikanaji wa bidhaa, mgombea urais wa Zan-zibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Mwinyi, ameahidi kuendelea na mpan-go wa kujenga masoko mapya ya kisasa ili ku-rahisisha upatikanaji wa bidhaa kisiwani Zanzi-bar. Maeneo yanayotarajiwa kujengwa ni Mwera, Kisauni, Fuoni na Kwa Haji Tumbo, ili kuondoa changamoto zinazowakabili wafanyabiashara na…