DKT. BITEKO AWAPA HEKO WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI
Teknolojia za kisasa za uchenjuaji madini zatajwa kuwa na tija kuliko matumizi ya zebaki Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya maendeleo ya sekta ya madini Mwaka 2020/2021 hadi 2024/2025 Serikali yakusanya zaidi ya shilingi tirioni 3.8 kutoka sekta ya madini Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati SERIKALI imeongeza ushirikishwaji…