CUF yalalama CCM kukusanya kadi za wapiga kura, chenyewa chawajibu
Dar es Salaam. Dar es Salaam. Wakati Chama cha Wananchi (CUF) kikiibua tuhuma dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kukusanya kadi za mpiga kura, chama hicho tawala kimeibuka kikisema hakuna ukweli wowote dhidi ya madai hayo. Malalamiko hayo yametolewa leo Jumapili, Septemba 28, 2025 na Mgombea Ubunge wa Newala Vijijini, Mneke Saidi, alipozungumza na waandishi…