Shime bado hajaridhishwa | Mwanaspoti
KOCHA wa kikosi cha timu ya taifa ya wasichana U20, Tanzanite Queens, Bakari Shime amesema ingawa timu hiyo imeshinda dhidi ya Angola na kwenda raundi ya tatu ya kuwania fainali za Kombe la Dunia 2026, hajaridhika kwa vile kuna makosa yalifanyika kuanzia eneo la ulinzi na ushambuliaji. Tanzanite Queens jana ikiwa ugenini ikirudiana na Angola…