Admin

RAIS SAMIA ANATHAMINI MCHANGO WA WAONGOZA WATALII NCHINI

Na Mwandishi Wetu- Karatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anathamini na kujua kazi na mchango wa waongoza watalii nchini Tanzania. Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi ameyasema hayo katika tukio la Fainali ya Safari Field Challenge Toleo la 10, likiambatana na maadhimisho ya Miaka…

Read More

Viongozi wa Ulimwenguni huangazia Vijana kama Wakala wa Maendeleo – Maswala ya Ulimwenguni

Annalena Baerbock, Rais wa Mkutano Mkuu na moja ya Vijana wachanga kushikilia ofisialisisitiza hiyo Vijana ni “wabuni wa maisha yao ya baadaye” lakini haipaswi kuijenga peke yake. Akichora mazungumzo na viongozi wachanga kutoka Ethiopia kwenda Afghanistan, alionyesha changamoto za uso wa vijana wa leo – kutoka kwa migogoro na shida hadi kwa ujasusi na ukosefu…

Read More

EWURA YATEMBELEA MRADI WA UMEME WA SOLA KISHAPU

  Na Tobietha Makafu & Janeth Mesomapya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetembelea mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua uliopo Kishapu, mkoani Shinyanga, leo tarehe 27 Septemba 2025. Akitoa taarifa kwa Bodi, Meneja wa Mradi Mha. Emmanuel Anderson alisema, mradi huo unatekelezwa kwa awamu…

Read More

EWURA YATEMBELEA MRADI MKUBWA WA UMEME WA SOLA KISHAPU

Na Tobietha Makafu & Janeth Mesomapya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetembelea mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua uliopo Kishapu, mkoani Shinyanga, leo tarehe 27 Septemba 2025. Akitoa taarifa kwa Bodi, Meneja wa Mradi Mha. Emmanuel Anderson alisema, mradi huo unatekelezwa kwa awamu mbili,…

Read More

Tanzania Yapata Medali ya Dhahabu Apimondia 2025

Tanzania imepata heshima kubwa ya kimataifa baada ya kutunukiwa Medali ya Dhahabu katika Kongresi ya 49 ya Apimondia iliyofanyika katika ukanda wa Scandinavia (Sweden, Denmark na Norway). Tuzo hiyo ilitangazwa Septemba 27, 2025 ambapo banda la Tanzania lilishinda katika kipengele cha Large Stand (zaidi ya mita 36 za mraba) kutokana na ubunifu na ubora wa…

Read More

TRA yajizatiti huduma kwa wafanyabiashara wadogo

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wadogo na wa kati mkoani Dar es Salaam wametakiwa kuchangamkia dawati la uwezeshaji biashara lililozinduliwa likilenga kuimarisha biashara zao. Dawati hilo limezinduliwa leo Septemba 27, 2025 na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Dawati hilo…

Read More