CRDB yafungua tawi jipya Namanga, kuchochea biashara mipakani
Arusha. Benki ya CRDB imefungua rasmi tawi jipya katika mpaka wa Namanga kwa ajili ya kutoa huduma, hatua inayolenga kuongeza ujumuishi wa kifedha na kuchochea biashara katika mpaka huo kati ya Tanzania na Kenya. Uzinduzi wa tawi hilo, unafanya benki ya CRDB kufikisha jumla ya matawi 268 nchini. Akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi Wilayani Longido,…