Admin

NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA WILAYA YA KIGAMBONI.

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia Mikaya  Septemba 26,2025 amepokea vifaa tiba viivyotolewa na benki ya NMB ikiwa ni sehemu ya benki hiyo kurudisha sehemu ya faida yake katika Jamii. DC Dalmia amesema vifaa vilivyotolewa ni pamoja na vitanda vya Wanawake kujifungulia na vitanda vya uchunguzi 20 pamoja na mashine 20 za kusaidia kupumulia kwa…

Read More

MAHAFALI YA 47 YA BODI YA NBAA YAFANA

  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Jenifa Christian Omolo akisoma hotuba yake kwenye mahafali ya 47 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA). Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu akizungumza kuhusu namna Bodi hiyo ilivyofanikisha kuongeza idadi…

Read More

Ahmed: Simba kesho tunaanza upya

OFISA Habari wa Simba, Ahmed Ally, amesema wana mechi ngumu kesho watakapokutana na timu ambayo haina cha kupoteza, hivyo wapo kwenye wakati mgumu kufikiria nini watafanya ili kuvuka hatua inayofuata. Katika kufikiria huko, Ally amebainisha kwamba, wataingia kwenye mechi hiyo akilini mwao matokeo yakiwa 0-0 licha ya kwamba ugenini walishinda bao 1-0. …

Read More

ADC kutoa mitaji kukuza uchumi wa wajasiriamali

Pemba. Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia  Chama cha Alliency For Democratic Change (ADC), Hamad Rashid Mohamed  amesema  iwapo wananchi  watampa  ridhaa ya kuiongoza Zanzibar, atawasaidia wajasiriamali na vijana kwa  kuwapatia mitaji itakayowawezesha kujiendesha kiuchumi na kukuza kipato chao. Akizungumza na wananchi na wanachama wa chama hicho katika  mkutano wa hadhara uliofanyika  Mtambwe Wilaya ya…

Read More

Richkard azitaka alama tatu Pemba 

Kocha Msaidizi wa Malindi, Mohamed Salah ‘Richkard’ amesema timu hiyo imejipanga vyema kuhakikisha inazipata pointi tatu za kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar. Mechi hiyo itachezwa leo Jumamosi saa 10:15 jioni kwenye Uwanja wa Gombani uliopo Pemba, ambapo Chipukizi itakuwa mwenyeji wa Malindi. Akizungumzia maandalizi ya timu hiyo, Richkard amesema kutumia wachezaji wapya katika mechi hiyo sio sababu…

Read More