Meridianbet Yawagusa Watu Wenye Ulemavu Wa Ngozi Kupitia Ugawaji Vifaa Kinga
IKIWA na dhamira ya kuleta mabadiliko chanya nje ya uwanja wa michezo, Meridianbet imefanya zoezi maalum la kugawa vifaa kinga kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR). Katika tukio lililofanyika jijini Dar es Salaam, kampuni hiyo ilitoa kofia na miwani ya jua kwa walengwa,…