De Reuck, Kante ‘wampotezea’ Fadlu kiaina
NYOTA wapya wa Simba, kitasa Rushine De Reuck na Allasane Kante wamewatuliza mashabiki wa klabu hiyo kutokana na kuondoka kwa Kocha Fadlu Davids wakisema kila kitu kitakaa sawa kwa vile wachezaji wamejipanga kuendeleza moto wa Msimbazi katika mechi za ndani na za kimataifa. …