Wajumbe UN walivyosusia hotuba ya Netanyahu, wengine wazomea
New York. Wajumbe wengi wa mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wamesusa kwa kutoka nje ya ukumbi wakati Waziri Mkuu wa Israel, wakati Benjamin Netanyahu alipoanza kutoa hotuba yake aliyoitoa leo Ijumaa Septemba 26, 2025. Wakati Netanyahu alipoanza kuhutubia, watu wengi ndani ya ukumbi walianza kumzomea na kuondoka ukumbini ikiwa ni ishara ya…