Admin

Watatu walioshtakiwa kwa mauaji akiwemo mtalaka, waachiwa huru

Arusha. Mahakama Kuu, Masijala Ndogo ya Morogoro imewaachia huru watuhumiwa watatu waliokuwa wakikabiliwa na shtaka la kumuua Marietha Petro na kuutelekeza mwili wake kando ya barabara. Watuhumiwa waliokuwa wakikabiliwa na kesi hiyo ni Stanley Winfred, Dabobertus Natalis (ambaye awali alikuwa mume wa Marietha kabla hawajaachana kwa kupeana talaka) pamoja na Magnus Anton. Wote watatu walikuwa…

Read More

AI ikitumika maabara, wataalamu wapewa angalizo

Mwanza.  Chama cha Wataalamu wa Maabara za Afya Tanzania (MeLSAT) kimesema kimeanza kutumia teknolojia ya akili mnemba (AI) katika utekelezaji wa majukumu yake. Hata hivyo, kimesisitiza kuwa wataalamu wake hawawezi kupoteza ajira, bali wataendelea kuwa kiungo muhimu kuhakikisha huduma za afya zinatolewa kwa ufanisi. Akizungumza jijini Mwanza jana Septemba 25, 2025, katika kongamano la 38…

Read More

Simba, Yanga kuna kazi Oktoba 9

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa ratiba ya ufunguzi wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) itakayoanza kuchezwa kwa mechi za nusu fainali ya Ngao ya Jamii zitakazopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam. Timu zilizomaliza nafasi nne katika msimamo wa Ligi ya msimu uliopita ambazo ni bingwa mtetezi JKT Queens, Simba Queens,…

Read More

DIT Yabuni Vifaa Maalum vya Elimu ya Vitendo, “Train Kits”

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WANAFUNZI wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) wamebuni vifaa maalum vya elimu ya vitendo vinavyojulikana kama Train Kits, vilivyotengenezwa hapa Tanzania kwa kutumia rasilimali za ndani. Akizungumza kwenye maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Kitaifa yanayoendelea Ukumbi wa Mlimani City, Hosea Kimaro, mwanafunzi wa DIT na Mkurugenzi Mtendaji wa…

Read More

Vijana wasipoandaliwa kidijitali, taifa litaachwa nyuma

Dar es Salaam. Wataalamu wa elimu nchini wamesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kuchukua hatua za haraka na kufikiria upya dhana ya maarifa ya kusoma na kuandika, ili kuendana na mahitaji halisi ya ulimwengu wa kidijitali. Wanasema iwapo taifa linataka kuwaandaa vijana kwa ufanisi kukabiliana na changamoto na fursa za karne ya sasa, basi maarifa hayo…

Read More

DC NYAMWESE ASISITIZA UJENZI WA BWENI UPEWE KIPAUMBELE MRADI WA VETA HANDENI

Na Mwandishi Wetu, Handeni MKUU wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Salum Nyamwese, amekagua ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) wilayani humo na kuagiza maboresho mbalimbali kwenye utekelezaji wa mradi huo unaotarajiwa kugharimu Sh.Bilioni 1.6. Miongoni mwa maboresho ni kuangalia namna ya kuhakikisha bweni linajumuishwa katika awamu ya kwanza ya ujenzi, ili wanafunzi waweze kuanza…

Read More

Mgombea udiwani Marangu aahidi kushirikiana na mbunge kuleta maji

Moshi. Mgombea udiwani wa Kata ya Marangu Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Innocent Shirima ameahidi kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi wa kata hiyo, ikiwemo upatikanaji wa maji safi na salama, barabara za ndani pamoja na ajira kwa vijana. Akizungumza leo Septemba 26, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Marangu Mtoni, Shirima amesema changamoto kubwa…

Read More

Mjane Aomba Zuio La Muda – Global Publishers

Alice Hause ambaye ni Mjane wa marehemu Justice Rugaibula leo September 25,2025 amewasilisha maombi madogo Na.24541/2025 katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, akiomba zuio la muda la kutoondolewa kwenye nyumba iliyopo Kiwanja Na.819, Hati Na.49298, Msasani Beach, Dar es salaam. Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano wa Mahakama ya Tanzania,…

Read More