Admin

Mpemba alivyomuua mkewe, kumzika chumbani

Morogoro. Wivu wa mapenzi ni jinamizi linalotafuna roho za wapendanao, kauli inayoshabihiana na kilichotokea kwa Mohamed Salahange maarufu Mpemba, aliyemuua mkewe, kisha kuuzika mwili chumbani kwao. Baada ya kuuzika mwili huo, akiwatuma watoto wa mama huyo kuleta mchanga chumbani bila kujua ni kwa ajili ya kumzika mama yao, walihama nyumba na kuifunga hadi siku 81…

Read More

Mke alia mumewe kutoweka katika mazingira tata

Moshi. “Ninamuombea msamaha mume wangu kwa watu wanaomshikilia, naombeni mnisamehe na mimi kama mke wake na muwasamehe watoto niliozaa naye kwa sababu adhabu mnayompa Joseph hata mimi inanipata, tena inanipata zaidi kuliko huyo mnayemshikilia kwa sababu sijui alipo, kwa nini mnatutesa hivi?” Ni kauli ya Rehema Seleman (27), mkazi wa Kata ya Ng’ambo, mjini Moshi…

Read More

Tanzania yasisitiza utatuzi wa migogoro duniani

New York. Tanzania imelaani kuibuka upya kwa ukiukwaji wa sheria za kimataifa, hali inayochochea matumizi ya nguvu kama njia ya kutatua migogoro. Imeeleza kuwa mwenendo huo si tu unadhoofisha juhudi za kimataifa za kudumisha amani na usalama, bali pia unahatarisha maisha ya raia wasio na hatia katika maeneo ya migogoro. Pia, imesisitiza kuwa matumizi ya…

Read More

TASAC YAONYA UTUPAJI WA PLASTIKI BAHARINI

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.Katika kuadhimisha siku ya usafiri wa majini Duniani,Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetawaka wananchi kupunguza uchafuzi wa plastiki katika bahari na kulinda rasilimali hiyo kwa vizazi vijavyo. Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshuhulikia Mazingira (UNEP) linaonyesha kila mwaka tani milioni 19 hadi 20 za plastiki zinatekezwa baharini…

Read More