Nchi sita zazikamia Sh35 m Tanzania Open
ZAIDI ya nyota 150 wa gofu kutoka mataifa sita ya kiafrika wanatarajia kushiriki michuano ya wazi ya Tanzania Open 2025, kuwania Sh35 milioni. Nyota hao wanatoka nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia, Malawi na Zimbabwe ambao wamethibitisha ushiriki wao zikiwa zimesalia siku saba kabla ya michuano hiyo itakayoanza Oktoba 2, kwenye viwanja vya Arusha Kili…