Serikali ilivyojibu madai ya Amnesty sakata la haki za binadamu
Dar es Salaam. Siku tano baada ya Shirika la Amnesty International kutoa taarifa iliyozishutumu mamlaka za Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na ukandamizaji wa watu kuelekea uchaguzi mkuu, Serikali imejibu taarifa hiyo ikisema imesikitishwa na madai hayo yasiyo na uthibitisho. Oktoba 20, 2025 Shirika la Amnesty ilitoa taarifa yake lilioiita “Unopposed, Unchecked, Unjust:…