SERIKALI YAONDOA VAT KWA VITUO VYA GESI ASILIA ILIYOSHINDILIWA (CNG)
::::: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba amesema Serikali imeondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa vituo vyote vya Gesi iliyoshindiliwa (CNG) nchini ili kuhamasisha matumizi ya gesi asilia kwenye vyombo vya moto kupitia uwepo wa vituo vingi vya kutoa huduma hiyo kwa wananchi. Amesema kuwa Serikali pia imeondoa kodi kwenye…