Admin

Othman aahidi kutoa haki bila kuangalia itikadi kisiasa

Unguja. Mgombea urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema atakapochaguliwa kuiongoza Zanzibar, Serikali yake haitatoa huduma kwa kuangalia itikadi za kisiasa. Sambamba na hilo, amesisitiza kusimamia ardhi kuwa rasilimali inayomilikiwa na mwananchi badala ya Serikali na wananchi ndio watakaokuwa na mamlaka ya kuikodisha, huku Serikali ikipokea kodi na kutoa mwongozo unaosimamia. Othman…

Read More

Gamondi ataka miezi sita tu Singida BS

KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema ushindi dhidi ya KMC katika mechi ya Ligi Kuu Bara sio wa bahati mbaya, huku akiweka wazi ubora wa wachezaji alionao ndio siri ya mafanikio licha ya kukaa pamoja kwa muda mfupi, akisisitiza anataka apewe miezi sita tu. Gamondi amefunguka hayo baada ya Singida kuifunga KMC…

Read More

CCM yaahidi uwanja wa ndege wa kimataifa Tanga

Tanga. Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya ahadi kubwa za chama hicho katika ilani ya uchaguzi 2025-2030 ni kujenga upya uwanja wa ndege wa Tanga na kuufanya wa kisasa wenye hadhi ya kimataifa. Akizungumza leo Jumatano Septemba 24, 2025 baada ya kuwasili jijini Tanga, Wasira amesema uwanja huo ulikuwa na…

Read More

Sababu Ramaphosa kuzimiwa kipaza sauti akihutubia UN

New York. Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amezimiwa kipaza sauti kwenye mkutano maalumu wa kujadili umuhimu wa kuanzishwa taifa huru la Palestina, baada ya kuelekeza mashambulizi dhidi ya Israel akidai inachofanya Gaza ni mauaji ya kimbari. Pia, alifananisha mateso ya Wapalestina wanayofanyiwa na Israel na waliyoyapata Waafrika Kusini wakati wa utawala wa ubaguzi wa…

Read More

Maximo akomalia mastraika KMC | Mwanaspoti

KICHAPO cha bao 1-0 ilichopewa KMC katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Singida Black Stars, kimemuamsha kocha wa timu hiyo, Mbrazili Marcio Maximo akisema changamoto kubwa iliyowagharimu ni katika eneo la safu ya ushambuliaji. Akizungumza na Mwanaspoti jijini Dar es Salaam baada ya mechi hiyo, Maximo alisema eneo la ushambuliaji lilikosa mabao mengi kutokana…

Read More