CCM Pwani Yajipanga kwa Mapokezi ya Rais Samia, Mariam Ibrahim Aongoza Hamasa
Pwani, Septemba 24, 2025 – Mgombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mariam Ibrahim, ameungana na Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Pwani katika maandalizi ya kumkaribisha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mariam ametembelea maeneo mbalimbali ya mkoa huo akihamasisha wananchi kushiriki…