DRC Haitauza Rasilimali kwa Bei Rahisi kwa Marekani – Global Publishers
Last updated Sep 24, 2025 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, ametangaza kuwa licha ya msaada wa Marekani katika upatanisho wa migogoro, nchi yake haitauza kwa bei rahisi au kupiga mnada rasilimali zake kwa taifa hilo la…