Mkurugenzi wa Jatu afikisha siku 1,000 rumande, bila upelelezi kukamilika
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya(33) anayekabiliwa na kesi uhujumu uchumi, anaendelea kusota rumande kwa kufikisha siku 1,000, kutokana na Jamhuri kutokukamilisha upelelezi wa kesi hiyo. Gasaya anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni kujipatia Sh5.1 bilioni kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha kiasi hicho cha fedha, katika Mahakama ya…