Chama cha mawakili wa Serikali, TLS ngoma nzito
Dar es Salaam. Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) kimetoa wito kwa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kuzingatia maadili ya taaluma ya sheria na misingi ya ueledi katika kushughulikia changamoto zinazowakabili wanachama wake. Hii ni kufuatia tamko la TLS linalowataka wanachama wake kusitisha kushiriki katika utoaji wa msaada wa kisheria, kama njia ya kushinikiza hatua…