KULAZIMISHA KUSUSIA UCHAGUZI NI KUPORA HAKI ZA WANANCHI – MCHANGE
Na. Mwandishi wetu, KITUO cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) kimekemea vikali tabia za baadhi ya vyama vya siasa kuwalazimisha wananchi kususia uchaguzi ni kuwanyima haki ya msingi kwa mujibu wa katiba. Chama husika hakishiriki uchaguzi hatua hiyo ambapo ni kinyume cha demokrasia ya kutaka kufanya jaribio la kupora haki za wananchi. Mwenyekiti…