Dkt. Bashiru akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa TADB
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa( Mb.) amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TABD) na kufanya mazungumzo na yanayolenga kuendeleza ushirikiano kati ya wizara na benki hiyo na kuitaka kuendeleza miradi ya sekta za mifugo na uvuvi. Mazungumzo hayo yamefanyika leo 27 Januari 2026 katika…