TBS kuja na viwango vipya vya ufanisi wa nishati vifaa vya umeme
Dar es Salaam. Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limeandaa viwango vya ufanisi wa nishati ya umeme kwa vifaa vinavyotumia nishati hiyo. Vifaa hivyo ni runinga, jokofu, AC, feni za kuzunguka mota za umeme na taa ambavyo vitakuwa na nembo ya TBS inayoonesha kiwango cha matumizi ya umeme. Akizungumza leo Desemba 16,2025 ofisa viwango wa shirika…