AKU yaikosha Lindi mafunzo ya ualimu
Dar es Salaam. Uongozi wa Mkoa wa Lindi umesema mradi wa kuwafundisha wakufunzi umesaidia kuwajengea uwezo watendaji kuanzia ngazi elimu, kata, shule hadi halmashauri za mkoa huo. Mradi huo unaoitwa ‘Foundations for Learning’ ulikuwa unatekelezwa na Taasisi ya Maendeleo ya Elimu ya Chuo Kikuu cha Aga Khan, Afrika Mashariki (IED, EA) kuanzia mwaka 2022 hadi…