Admin

Elfadhil arusha taulo Tanzania Prisons

BAADA ya kuitumikia Tanzania Prisons kwa miaka 16, aliyekuwa nahodha wa timu hiyo Jumanne Elfadhil ametangaza kupumzika akiahidi kuisaidia timu hiyo kwa mawazo atakapohitajika, huku akitoa neno juu ya matokeo ya mechi mbili kwa Wajelajela hao. Elfadhil amekuwa katika kikosi hicho tangu alipoanza kuitumikia mwaka 2009 alipojiunga nayo, kwa sasa amesema hatarajii kurejea uwanjani tena…

Read More

Simbu atua kishujaa, gwaride likifuata 

MWANARIDHA Alphonce Felix Simbu ametua nchini usiku wa kuamkia leo saa 9:00 alfajiri kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akibeba medali ya dhahabu aliyonyakua kwenye mashindano ya Dunia ya Riadha yaliyofanyika Tokyo, Japan. Simbu ambaye ameweka historia kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda kwenye mbio za marathon, alipokelewa kwa shamrashamra na…

Read More