Majaliwa Kuzindua Maonesho Ya Teknolojia ya Madini Geita – Global Publishers
WAZIRI MKUU,Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2025 amefungua maonesho ya nane ya teknolojia ya madini kwa mwaka 2025 ambayo yamefanyika kwenye viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Geita. Maonesho hayo ya Teknolojia ya Madini ambayo yalianzishwa mwaka 2018 yanalenga kuimarisha sekta ya madini nchini na kuhakikisha kuwa rasilimali madiniinawanufaisha Watanzania wote….