TADB YACHOCHEA MAENDELEO YA KILIMO NA UFUGAJI KIGOMA
Na Mwandishi wetu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imewezesha ujenzi wa Kiwanda cha Kuku wa mayai cha Mayai Ltd kinachomilikiwa na Bw. Rupinder Sandhu kimejengwa katika kijiji cha Kimbwela, kata ya simbo, Mkoani Kigoma. Akizungumzia Kiwanda hicho, Afisa Maendeleo ya Biashara toka TADB Bwana Patrick D. Kapungu amesema Kiwanda hicho ni kikubwa katika…