
Manji akumbukwa mkutano wa Yanga
ALIYEKUWA mfanyabiashara na mdhamini wa Yanga, Yusuf Manji amepewa heshima katika mkutano mkuu wa klabu hiyo unaoendelea kwenye Ukumbi wa Super Dome Masaki jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa kawaida wa mwaka unafanyika leo ukiwa na ajenda 10, lakini kubwa ni mipango mkakati kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano kwa mwaka 2025-26. Manji…