Mgombea udiwani Kibosho aahidi kuboresha lishe kwa wanafunzi shule za kata
Moshi. Mgombea udiwani wa Kibosho Magharibi, Wilaya ya Moshi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Deo Mushi, ameahidi kuwa endapo atachaguliwa kuwa diwani, asilimia 60 ya mapato yanayokusanywa kupitia Vyama vya Ushirika wa Mazao (Amcos) yataelekezwa katika kuboresha lishe ya wanafunzi kwenye shule zote ndani ya kata hiyo. Amesema kuwa, hatua hiyo inalenga kuboresha maendeleo ya…