Samia atajwa mwelekeo Dira 2050 na ubia sekta binafsi
Dar es Salaam. Rais, Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa Dira ya 2050, ikielezwa kuwa ni ya kitaifa huku wito ukitolewa wa kuhakikisha uhusiano baina ya serikali na sekta binafsi unaimarishwa zaidi ili kujenga uchumi jumuishi. Pongezi na wito huo umetolewa kama sehemu ya maazimio ya Kongamano la Uchumi Jumuishi lililoandaliwa na Kigoda cha Mwalimu Nyerere…