Askari wa Gereza Njombe Ajitoa Uhai Baada ya Kumuua Mwenzake – Global Publishers
Njombe – Askari wa Gereza la Njombe, Erasto Mlelwa (26) mwenye namba C.916 WDR, amefariki dunia baada ya kujirusha kutoka kwenye gari la Polisi wakati likiwa linaenda kwa mwendo, kufuatia kuoneshwa mwili wa askari mwenzake ambaye anadaiwa kumuua. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, ACP Mahamoud Banga, amethibitisha tukio hilo na kueleza…