Chiku Issa Awahamasisha Wanawake Kumpigia Kura Dkt. Samia – Global Publishers
Last updated Sep 20, 2025 Mbunge mteule wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Chiku Issa, amewataka wanawake wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi ifikapo tarehe 29 Oktoba 2025 ili kumpigia kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza katika mkutano wa ndani na…